Hizi hapa brand
Bila kujali uzuri wa begi la usafiri,unapotaka kununua begi la kusafiria itakupasa zaidi kuangalia ubora wa begi,matumizi na mtindo kwa kuzingatia hilo kuna aina nyingi za mabegi ya kusafiria
Katika utafiti tulioufanya kwa kuzingatia ubora na bei nafuu tumeamua kuchagua brand za makampuni kutoka china haya yafuatayo yatakufaa zaidi
Samsonite (China) Co., Ltd.
Delsey China
Rimowa China
Antler China
VIP
Briggs & Riley China
Ace Bags & Luggage Co., Ltd.
Travelpro China
JD travel.
Traveler’s Choice China
Ukitaka kununua mabegi ya kusafiria kutoka Tanzania Kuna wapo wauzaji kutoka soko kuu la kariakoo wanauza mabegi yenye ubora grade 1 na bei nafuu ingia hapa👇👇